Ni shiiiidaMessi,Neyma. Wataanzaanzaje kupinga
Kwenda hukoUmemuona Payet wa mwendo kasi??![]()
![]()
![]()
Anza sasaNgoja iishe mech hapa ntajaribu kuwachukia
Si unajua inabid niwe na commitment![]()
![]()
![]()
Kufa kufa tu haijalishiIla tumepigana si mbaya
next time my friend

Hii kibokoWapi Panadol Na Cake 1 (PNC 1)
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....... ...
Na RomaniaMi ujerumani
NB ntashabikia timu yyte kasoro spain
Nimecheka sanaaaaUwiiii Bitoz bwana si kwa kunifanyia hivi...eti panadol na cake 1..![]()
![]()
![]()
Wameshnda kwa taabuu![]()
![]()
Hiyo ndo Ufaransa isubiri Spain