amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Holiday ya majangaaaSawa enjoy ur holiday [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Holiday ya majangaaaSawa enjoy ur holiday [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Noma sana hii kitu....huwezi kuvumilia sharti uende chooni
......
Ukirudi sijui utatuletea Nini shemeji.....anyway kama sukari inapatikana uleteSalama kabisaa Shem niko mkoani huku ndo maana naadimika
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Punje 2 za vitunguu swaumu zitakusaidia
[emoji3] Sie tena, forever[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] basi sawaaaa
Marhabaa hujambooo!!?Shikamoo diamond....shikamooo
Miguu inaniwasha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan hatari alafu kesho usitoke hom kaa na ndoo zako za maji za kutosha
PoleeeHoliday ya majangaaa
HahahaMiguu inaniwasha
Ndo maana leo nimejaribu nimeshindwa nikageuza K/koo
........
Kulipia uharo ni utapeliHahaha
Ungeenda vyoo vya kulipia
Sukari huku ni majanga. Labda nikuletee maparachichi shemeji.Ukirudi sijui utatuletea Nini shemeji.....anyway kama sukari inapatikana ulete
HahahaKulipia uharo ni utapeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Ha hahahhaa wewe Si harmonize wewe baba wolper[emoji3] Sie tena, forever
Marhabaa hujambooo!!?
Szczesny platnumz
Hapa haki sawaHahaha
Nipo laikn pia naheshim walo ntangulia
Okey.....nitakuja ubungo pale kuuchukua mzigo wako....Sukari huku ni majanga. Labda nikuletee maparachichi shemeji.
HahahHa hahahhaa wewe Si harmonize wewe baba wolper
You tooUsiku mwema family
Huyo wa nyuma hata hajiamini kaitwa kwenye timu kimazabe mazabe ndio maana hajiamini![]()
Wauza sura EURO
...........