Makapuku Forum

Chukua mfano:
Time ya Mahakama
S.l.p 39
Dsm

K.k
Katibu Tawala Mkia
S.l.p 50
DSM


Sasa nimekosea wapi
Anatafuta sifa yule...Mimi hizo barua nazielewa sema JF samtaimu watu wanaleta ujinga kwenye ishu serious
.......
Yaan alivo ona jina lako pale akajua ni uongo

Halaf yeye hajatoa alternative inabid iandikwe vipi

Tupa kule huyo
 
Chukua mfano:
Time ya Mahakama
S.l.p 39
Dsm

K.k
Katibu Tawala Mkia
S.l.p 50
DSM


Sasa nimekosea wapi
Anatafuta sifa yule...Mimi hizo barua nazielewa sema JF samtaimu watu wanaleta ujinga kwenye ishu serious
.......
Alikuwa atafuta kiki

Chezea kukutana na founder
 
Ktk kitu sikielewi na kuuliza sio ujinga ni hii "Makapuku Forum" naona giza totoro, msaada tafadhali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…