Makapuku Forum

Au ndo hayo wanayosemaga macalos?? Manake nimesikia sana stori zake
 
Uwe unatumia akili, unaona mtu nimemnyamazia sijareply hata mara moja ila wewe tena ndo anajifanya bwana shughuli
Na nikakwambia sina shirika nae ila upo tu kama sio kunitafuta ni nini???
Nafikiri unataka kukosea, hapa huwa utani mwingi labda unajisahau unavyonitaniaga.
Pia hatujafikia hatua ya kuvunjiana heshima, nilipoomba msamaha nadhani ingetosha
 
Kwanza nlijua wewe si mhehe

Sasa hapo mlilishwa mbwa kwa sababu ya uzembe wenu alaf eti unasema wahehe uwa wana kula

Lol!!!

Ulikuwa wewe na wenzio, but mi mda nlo ishi iringa sja ona that case

Fanya utafiti kaka!
Damu ya mbwa inatumiwa kwenye Hehe Rituals.
Tembea vijijni uliza wazee watakuambia; mimi haya niliambiwa na wajukuu wa Mzee Adam Sappi Mkwawa na baadhi ya Wahehe wa ndani!
So i take their word to be affirmative.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…