Jinsi ya kuedit post
Bonyeza ile post husika bila kuachia mpaka ijihighlight then achia, angalia icon zitakazokuja kisha chagua ile kama kijipen au ile alama ya spana, iclick kisha utaedit post yako na itasomeka vile utakacho
Nasubiri mrejesho kwasababu najua wewe sio slow learner
Kumbe wewe ni wa darisalama mimi nipo Singida mkuu now tunakula viazi tu na Ramadhani ndio hiyo basi ni mwendo wa futari bila ya gharama za kodi ya mwezi mtukufu