Neno la leo
Deuteronomy 28: 13
13. Bwana atakufanya kuwa kichwa wala si mkia,
Nawe utakuwa juu tu wala huwi chini
Utakapo yasikiliza maagizo ya BWANA Mungu wako,nikuagizayo hivi Leo, kuyaangalia na kufanya .
Kumbe Baraka za Bwana Mungu zipo na alishatuahidi kuwa tukishika amri na kutenda NENO Lake linavyotaka tutabarikiwa.....
Basi mkishike amri na Neno la Mungu
Mbarikiwe