Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
Naona bado unaendelea aiseeDaah, sjam amini kama uwa nawakera kias hko
Anyway nashukur kuwafahamu
Naona bado unaendelea aiseeDaah, sjam amini kama uwa nawakera kias hko
Anyway nashukur kuwafahamu
Hehehe sasa ndo upunguzee[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mbona bado unaendelea???
Sisi tu tumekwambia ukweli sababu tunakupenda
Kila mtu na alivo zoea tht is the way naandka na i blv watu huwa wana nielewa, so huwez sema nibadilike kwa kuwa tuu nawakera nyie, i may do that, lakin naona kama imefanywa big deal yaanNaona bado unaendelea aisee
Usichukulie hivyo ndugu kurekebishana kidogo. just relax tu. Kuwa na amani moyoni. Sisi sote ni nduguKila mtu na alivo zoea tht is the way naandka na i blv watu huwa wana nielewa, so huwez sema nibadilike kwa kuwa tuu nawakera nyie, i may do that, lakin naona kama imefanywa big deal yaan
SorryKila mtu na alivo zoea tht is the way naandka na i blv watu huwa wana nielewa, so huwez sema nibadilike kwa kuwa tuu nawakera nyie, i may do that, lakin naona kama imefanywa big deal yaan
Nzuri tu wii, habari ya wewe?Habar ya jioni wapenzi
Salama Wii nimekumiss...Habar ya jioni wapenzi
Mzima mamy??Nzuri tu wii, habari ya wewe?
Salama kabisa.Wazima wote?
Nzuri kabisa.umeadimika sanaSalama kabisa.
Habari yako linamo
habareeeeNacheka sana hapa
Mambo yamekuwa mengi kidogo.Nzuri kabisa.umeadimika sana
Salama brother,habari ya weekend.Za Kutwa makapuku..
Heshima yako brother.Nawasalimuuuu katka jina langu