Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mie mzima namshukuru MunguMzima sijui wewe tu?
Mie mzima namshukuru MunguMzima sijui wewe tu?
Jimena kumbe umeolewa?! nilikua napanga michongo ya kukuopoa
OkMambo yamekuwa mengi kidogo.
Lakini tuko pamoja mkuu.
Salama kabisa umeadimika Kama sukariWakuuu habari za usikuu
Mapenzi mabaya sana.Ndio na asb tuliipost Sema naona hukuwa hewani
Poa mama,nilikumis sana.
Pouwaa saana kaka daahTuko vizuri brother.
Weekend adje?
The boss[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mzima wewe?
Mpendwa......
Salama kabisa umeadimika Kama sukari
Nini tena.Pouwaa saana kaka daah
jambo la kumshukuru mungu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sisi ni wazima wa afya
Salama sana, vipi sukari ulipata??The boss
Salama??? Lakini
ubize wa hapa na pale ulinibanaNjema kabisa..... Ulipotea sana leo
Huo mkono, daah!!! Unafaa kwa matumizi ya binadamu
Aisee.---xx--xx---
Lakini salama,Hatare
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Mimi ni mke wa mume mmojaJimena kumbe umeolewa?! nilikua napanga michongo ya kukuopoa
Yale sio mapenzi ni uzandiki tuMapenzi mabaya sana.
Fact[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]---xx--xx---