Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,811
- 182,988
Hapana, unanisingizia.We mkorofi ujue
Hapana, unanisingizia.We mkorofi ujue
😏😏Salama Swahiba...
Kwema?
Mmmmh,Shangazi Shunie shahidiHapana, unanisingizia.
[emoji1787][emoji1787] Hapana jamani kama unataka gari muagizie tu mupenzi wanguMagari ya kikuu[emoji1787][emoji1787]
Muulize kama lipo la afuselasini.[emoji1787][emoji1787] Hapana jamani kama unataka gari muagizie tu mupenzi wangu
Unasinngiziwa wkt unanichokoza kweli Kila MTU shahidi hata muhusika Makiwendo naye shahidi juu ya ukorofi wakoNasingiziwa mimi 🙆♂️🙆♂️
Espy_ ananiletea ukorofi we imekaa Kimya kweli?Ndio ndio we mzee
Hahahaha,unajitetea eehMwe mwe mweeeeh!! Mimi huyu kabisaaaaaa?
Kwani hukummiss swahiba wako?Hahahaha,unajitetea eeh
Hahahaha,kwa kweli nilimmiss sana tu Tena sana , Swahiba wangu kipenzi MakiwendoKwani hukummiss swahiba wako?
Weee Maki hasahauliki kamwe ,labda nife yeye mwenyewe anajuaMuongooo! Ulikuwa bize na swahiba wako ukamsahau swahiba maki.
Hahahaha,dahObe nakusalimu kwa jina la jamuhuri.