Makapuku Forum

Hawa wanafaa kuchapwa viboko.
Yani kuna watu wameridhika kabisa na haya maisha ya mlo mmoja kwa siku.
Huko vijijini ni shida aisee
Wananchi wanakunywa pombe kuanzia asubuh hadi jioni ile sheria ya pombe ni kuanzia saa 9 alasiri kule haipo

NGOs Kwa kushirikiana na serikali inabidi watoe seminars juu ya kuzingatia by laws za vijiji bila kusahau sheria mama.

Hali ni mbaya sana Kwa baadhi ya vijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…