Makapuku Forum

Wanaosoma ni watoto sio wazazi, makosa ya mzazi yasifanye ukamhukumu mtoto asie na hatia,

Shule ziwekwe madawati, ubao uwe mzuri na walimu wenye taaluma hayo ndo majukumu ya serikali,
 
Wanaosoma ni watoto sio wazazi, makosa ya mzazi yasifanye ukamhukumu mtoto asie na hatia,

Shule ziwekwe madawati, ubao uwe mzuri na walimu wenye taaluma hayo ndo majukumu ya serikali,
Wazazi wengine hawaoni faida ya kumpeleka mtoto shule.
Wengine wanafika mbali kabisa na kuamua kuwafungisha ndoa.

Unapozungumzia maisha ya mtoto lazima wazazi watahusika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…