Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mwanaume mmoja mwenye miaka 45 huko Tokyo amekamatwa kwa tuhuma za kumuua bosi wake ambaye pia alikuwa rafiki yake wa zamani.
Inasemekana alimfuata nyumbani, akamnyunyizia dawa ya wadudu usoni kisha akamchoma kisu mara zaidi ya 10.
Polisi wanaamini hasira ilisababishwa na kupunguziwa bonasi ya mwisho wa mwaka.
Baada ya tukio, mtuhumiwa alienda kunywa pombe kabla ya kukamatwa.