Kusafirisha bangi hukumu ni kifungo cha maisha!Mahakama Kuu ya Kanda ya Morogoro imewahukumu kifungo cha maisha washtakiwa wanne kwa kusafirisha bangi (viroba 16).
Waliotiwa hatiani ni Silvanus Julius, (49) mkazi wa Tambuka Reli - Mikumi, Joyce Gidion (49) mkazi wa Yombo Vituka Dar es Salaam, Sophia Samweli (45) mkazi wa Mogo - Mikumi na Frolian Magoha, (36) mkazi wa Idege -Mikumi.View attachment 3562629