Makapuku Forum

Obe ni mzee kwahiyo hakuna madhara yoyote ntayapata! Hana ujanja ujanja kwaio ntakuwa salama☺️
....ni kweli kabisa, nitakulinda na hutopata madhara yoyote, iwe ninakulindia chumbani, sebuleni au nyumba ya wageni. Tutalindana
Kitovuni kwenu ni geita au sengerema😃
Misungwi ndani ndani huko kama unaenda Misasi na siku hizi Masasi Mtwara ndo makao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…