Makapuku Forum

Ipo Zambia ni maporomoko mazuri sana japo pia ukiwa upande wa zimbabwe unaeza kuyaona ila sisi tutaenda Zambia tukae siku mbili, kisha twende visiwa vya seychelles tukaimalizie valentine yetu.
....akikataa hii offer, mtafute Lee akutafutie mganga. Maana ndiyo mbinu pekee ambayo itakuwa imebaki, nikiongea kwa uzoefu. Seychelles mtahitaji muda wa kuplan, maana usafiri wake ni wa kuungaunga, mnaweza jikuta Ethiopia
 
Ipo Zambia ni maporomoko mazuri sana japo pia ukiwa upande wa zimbabwe unaeza kuyaona ila sisi tutaenda Zambia tukae siku mbili, kisha twende visiwa vya seychelles tukaimalizie valentine yetu.
Aww😍 acha nijiandae kujipa rahaa kabisa😌
Wapi dosho12 saiz sikuzamishi tena nakutesa kisaikolojia tu😂 cheki mwenzeu napelekwa nikaione dunia vzr😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…