Makapuku Forum

Jose mara mtoto wa kimara..

Nimekumbuka ule wimbo wa asha, fm akademia, aliimba poa sana mule...
....miaka hiyo, walikuja ukumbi wa CCM Kigamboni, sebene sio la mchezo mchezo.

Juzi nimemuona anatangaza tamasha la Malkia
 
Ila wasukuma mnawaonea🀣🀣🀣

Cc Shimba ya Buyenze
Sisi tulishazoea. Cha muhimu tu tupate ugali wa kutosha basi.

➑️➑️➑️ Leo nimepigiwa na wrong number mbili na zote ni Wasukuma. Tena mmoja mkali huyo amewaka balaa. Namwambia "namhala okoselagΔ«namba. Εͺnene nadΔ«Masanyiwa". Jamaa amekaza tu "Biya. Δͺnamba yenΔ«yΔ« yam-Masanyiwa". Mpaka nikamkatia simu. Wasukuma ni tatizo kwa kweli πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Sijajua kuna uhusiano gani wa kukosea namba na wasukuma kwakweli!

Juzi nimepigiwa na msukuma ananiambia ashapakia mbao Geita huko nimuelekeze pa kuzipeleka. Namwambia amekosea haelewi🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Sijajua kuna uhusiano gani wa kukosea namba na wasukuma kwakweli!

Juzi nimepigiwa na msukuma ananiambia ashapakia mbao Geita huko nimuelekeze pa kuzipeleka. Namwambia amekosea haelewi🀣🀣
Pengine na wingi wao unaongeza probability. Halafu wengine ni wakali kweli hata ukijaribu kuwaelewesha kistaarabu. Bagosha!
 
Ile lafudhi yao tu kwakweli inanifurahisha, na ubishi sasa🀣🀣
Ningekuwa na namba yako kesho ningekupigia halafu nijifanye nimekosea namba. Halafu nakandamiza ile lafudhi nzito kabisa original ya huku Misungwi. Na mwisho nakurushia twenti ya kununulia ubuyu wa Oman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣 wewe hauwezi kukandamiza kama wao og. Ile og tamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…