Mamba hawazeeki kwa namna sawa kama binadamu au Wanyama wengine.
Kwa miaka yote ambayo Mamba ataishi, seli zake hazioneshi kabisa kuharibika au kupungua kinga. Hata mifumo mingine ya mwili huendelea kukua kama kawaida kwa kipindi chote atachoishi.
Kinachowaua Mamba, kwa asilimia kubwa ni changamoto za kimazingira, mfano mabadiliko ya hali hewa, ugumu wa kupata chakula sababu namna anavyozidi kukua na ndivyo kiasi cha chakula atahitaji kula zaidi.
🤣 Shunie nikomboe basi kutoka kwenye hili janga, wakati huo huo Makiwendo amkomboe Tresor Mandala na Atoto abaki single maisha yake yote. Good morning makapuku wote.
Shunie nikomboe basi kutoka kwenye hili janga, wakati huo huo Makiwendo amkomboe Tresor Mandala na Atoto abaki single maisha yake yote. Good morning makapuku wote.
🤣 Shunie nikomboe basi kutoka kwenye hili janga, wakati huo huo Makiwendo amkomboe Tresor Mandala na Atoto abaki single maisha yake yote. Good morning makapuku wote.