Makapuku Forum

Shunie asante kwa magazeti, unafanya kazi iliyotukuka sana. Kuamka alfajiri mapema kuja kutupa dondoo za magazeti siyo poa. Mara yakwanza kukuona nlioneshwa na mdau mmoja kwamba huyo ndio shunie, your such a humble woman hata wanaokujua wanakusifu sana.
 
P ulionyeshwa wapiii au pm uko
 
Mara ya kwanza nlionyeshwa pm na unapokaa na namba zako. Na mimi nikaamua kuingia saiti nikajionea mwenyewe namna ulivyo pisi haswa
Eenh
mpaka ninapokaa na no zangu em fanya unipigie sasa acha kukaa na no ya simu ya mtu bila kuitumia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…