Makapuku Forum

Makapuku Forum

Magazeti ya leo March 21, 2025.
Screenshot_20250321_063126_Chrome.jpg
 
Shunie asante kwa magazeti, unafanya kazi iliyotukuka sana. Kuamka alfajiri mapema kuja kutupa dondoo za magazeti siyo poa. Mara yakwanza kukuona nlioneshwa na mdau mmoja kwamba huyo ndio shunie, your such a humble woman hata wanaokujua wanakusifu sana.
 
[emoji1787][emoji1787] P ulionyeshwa wapiii au pm uko
 
Mara ya kwanza nlionyeshwa pm na unapokaa na namba zako. Na mimi nikaamua kuingia saiti nikajionea mwenyewe namna ulivyo pisi haswa [emoji7]
Eenh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka ninapokaa na no zangu em fanya unipigie sasa acha kukaa na no ya simu ya mtu bila kuitumia
 
Back
Top Bottom