Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahahaha, mie huwa simsemei mtu na wala siwezi kufanya hivyo..hii nimesema kwa heshima yako tu, ila ningeweza kuacha watu waone hili boko ulilotoa,kulinda hadhi ya jukwaa / uzi

Me nashukuru kwa kuniambia we mzee ila kwa mfano ingejulikana sijui kesho uko ningeacha hivyohivyoo nisingefuta wangejua wenyewe waliosoma halafu me magazeti kabla sijapost nasoma kabisa ila leo sijasoma hata moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom