...duh, kumbe nimeachwa! Yaani nimeachishwa, mbona nakuwa wa mwisho kujua haya mambo binafsi.
Asubuhi asubuhi hii wakitoka jumuiya tu naenda kuuliza. Ila nimeumia sana, sikuwa najua kama nimeachika
...hebu nikumbushe ni biblia kitabu gani aunt. Maana Atoto kasema nimeachwa wakati sina taarifa. Au wewe unalijua hili? Nimeumia sana roho yaani, nikiwaza tu msimu wa mavuno nitakula na nani

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni