Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Sanaaa, pesa tamu asikwambie mtuMna visa nyie kwenye hela
Sanaaa, pesa tamu asikwambie mtuMna visa nyie kwenye hela
Ina malipoSanaaa, pesa tamu asikwambie mtu
Salama kama.Habarini za asubuhi hii humu ndani?
Ndugu yangu malizia hii sentensi vizur asee...Salama kama.
Wote tu wazima kabisa amaizing yupo fit sana leo ni baridi tu inazidi shika kasi mbaya kabisa.....Vp wewe na Shemeji yangu lizziebettie ?Salama kaka. amaizing mzima lakini?
Baridi ipi tena kaka. Tuko poa kabisa tunamshukuru MunguWote tu wazima kabisa amaizing yupo fit sana leo ni baridi tu inazidi shika kasi mbaya kabisa.....Vp wewe na Shemeji yangu lizziebettie ?
Pande nilipo nadhani temperature inasoma 10 degree hapa..ni balaa ile mbaya..Tuko pamoja sana mkuu..Baridi ipi tena kaka. Tuko poa kabisa tunamshukuru Mungu
Umevaa sweta lakini?Pande nilipo nadhani temperature inasoma 10 degree hapa..ni balaa ile mbaya..Tuko pamoja sana mkuu..
Tipangiwe Tp Mazembe
Mtafuta kick
Yeye mbona kamuuliza mke wangu. Liz mzima kabisa. Uko poa ?unapenda kuulizia wake za watu wewe jamaa yangu, vipi liz hajambo
Mtukane FaizerFix au Ngedere UngabuHi kapukuz, jamani msaada ntatumia dawa gani ya kuongeza hamu ya kuingia JF?
Teh teh!! kwa mujibu watakwimu za haraka inaonesh huyo Ungabu ndo member maarufu anaeongoza kwa kutokwa Povu kulikon wote!Mtukane FaizerFix au Ngedere Ungabu
![]()
![]()
![]()
![]()
........