Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
njema kaka habari yakoAbar ya jumanne mchana jaman
njema kaka habari yakoAbar ya jumanne mchana jaman
Mkuu tuwasilianeIko njema sana kaka. Mzima wewe?
Na kwako pia ShemJioni njema wapendwa
Kwema kabaisa mkuuNzuri, kwema?
Hivi saa kumi ni jioni? Me nikajua saa tisa mpaka saa kumi ni alasiri.Jioni njema wapendwa
Hongera zaoHadi ghorofa zipo
...........
Naona ndo unaamkaAbar ya jumanne mchana jaman
Iwe njema kwako pia wifiJioni njema wapendwa
Okay karibu tenaHaaaa
Nliamka kitambo ila cm ilkuwa chargeless
Wale waarabu wengine wauane wenyeweMakundi kombe la shirikisho
Group A
Tp mazembe Congo drc
Young african Tanzania
Medeama fc Ghana
Mo bejaiya Algeria
Hapa anaenda kua mkia kwenye group
Ha haaah tumeshapitaa hapo.....