Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Sidhani....Nlilala waka niamsha mkuu
Asa naona wana lala wenyewe
Sidhani....Nlilala waka niamsha mkuu
Asa naona wana lala wenyewe
AaahDuuh, kuamka asubuhi ni kibarua.
Kukesha ni kukesha tuHizi siku za mwanzo wa juma ni lazima ulale mapema.
Kukesha ni ijumaa.
Alamsiki
Ila bado nipo nipo
HahahahaMpe nusu saa tu wala hutamsikia tena
Wakina nani???Hahahaa
Mi kesho nawaamsha awa pamoja na kuwah kulala kwao
Aaah
Kwa kweli ila mi uwa naamka
Kwa kuwa ina bid
Manake utalala weweAsa lakin c mka niamsha tena
Asa ndio usi mwamshe alo lala
Wakina nani???
Ndio mtihani ngumu sana kwa wafanyakazi, manake usingizi huwa mtamu zaidi alfajiriDuuh, kuamka asubuhi ni kibarua.
Muda badoooo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaah, we naweee!! Upumzikeee
Ila inaudhi sanaa.... Alarm ikianza unaona kama imewahiAaah
Kwa kweli ila mi uwa naamka
Kwa kuwa ina bid
HahahaNa wewe ni mhanga wa Magufuli?
Nipo mkuu,Nimekumiss sana aisee,
Mishe niaje lakini?
HahahaIla inaudhi sanaa.... Alarm ikianza unaona kama imewahi
Ndo maana'akeHahahaha
Sikulala, nilikuwa napima upepo, mara nyingi Mimi ni wa mwisho kulala hapa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unaleta ubish kwl kwl, si ulilaka lakn ww!!? Endeleaaa
Werasson analinda geshini uku ana chatNdo maana'ake
Ngoja nimtag makomeoHahaha
Mi najutuma mwenyewe tuu, magu hantish
Ila usimwambie sasa
