Sasa daktari akishafeli inakuwaje!!!πππ
....ulishawahi kumuuliza daktari wako kama alifaulu mtihani wa bodi? Hawa ambao hawajafaulu wana nafasi nyingine ya kuirudia hii mitihani.Sasa daktari akishafeli inakuwaje!!!πππ
Twafwaaaa!
Wee nimuulize ili ugonjwa uongezeke!!!....ulishawahi kumuuliza daktari wako kama alifaulu mtihani wa bodi? Hawa ambao hawajafaulu wana nafasi nyingine ya kuirudia hii mitihani.
LOL!Wee nimuulize ili ugonjwa uongezeke!!!
Bora niamini tu anajua, kupona ni imani wakati mwingineπLOL!
Right on, akishaitwa dokta tu basi unajiaminisha anajua