briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Olympus has fallen man ila kwenye Whitehouse down nimependa sana jinsi Jamie fox alivyochezaHapo sawa. Kati ya Olympus has fallen na Whitehouse down ipi movie kali hapo?
Olympus has fallen man ila kwenye Whitehouse down nimependa sana jinsi Jamie fox alivyochezaHapo sawa. Kati ya Olympus has fallen na Whitehouse down ipi movie kali hapo?
Mkuu we have missed you a lotYako poa sanaa my very happy to see Makapuku
Mambo Shem darlinJioni njema wakuu,nice to have you![]()
![]()
Olympus has fallen bonge LA movie. Jamie fox pia ameigiza vizuri kwenye Whitehouse downOlympus has fallen man ila kwenye Whitehouse down nimependa sana jinsi Jamie fox alivyocheza
safi kiongozi, mambo nini?Habari ya jioni wakuu.
Sema shikamoo....damu changaHabari ya jioni wakuu.
Mambo freshi kabisa brother.safi kiongozi, mambo nini?
Fresh, karibu kijanaHabari ya jioni wakuu.
Aisee.
Wazungu walishatangulia ngozi nyeusi kitambo sana aisee, huwa hawakosei kabisa movie zaoOlympus has fallen bonge LA movie. Jamie fox pia ameigiza vizuri kwenye Whitehouse down
kikubwa uzima mkuuMambo freshi kabisa brother.
Mungu anazidi kuwa mwema.
Kweli kabisa brother.kikubwa uzima mkuu
Niaje bro?kikubwa uzima mkuu
kwema aje mkuu?Niaje bro?
Pole sana. Kwanini ujifiche sasaJino limepungua kuuma. sasa sikilizeni. Usimtafute King ila awe wa moyoni the same as the queen as well Mhu nina mdogo wenu anakuja na shem wenu sasa akija nimfiche au nijifiche.
Fresh mkuuk
kwema aje mkuu?
Asante mkuu.Fresh, karibu kijana