Tupia kapicha basi tuone jinsi umetoka kwachu...Siku hizi tunatupia tunapenda uafrika wetu...
Usisahau tu kutupia kapicha mkuu, utapendeza sana si unamuona amaizing??Napenda sana nguo za kiafrika j umapili siku moja moja natupia ......nimegundua hata nyie wanaume mnapenda African culture siku nikilipuka hivyo weeee nitafotolewa kila saa na kanisani tutaenda wote siku hiyo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante sana, mambo yanaendaje lakini?Karibu tena bro
Fresh tu mkuu, kwema huko?Asante sana, mambo yanaendaje lakini?
Nasikia uliwekwa lupango baada ya kukutwa na sukari glue kg 50Kazi zinanifanya niwe busy sana Makapuku wenzangu.. but now nawasalimu sanaaa
![]()
Aje![]()
........
le takoz nationNice time to you tooJioni njema wakuu,nice to have you![]()
![]()
Yako poa sanaa my very happy to see MakapukuFresh tu mkuu, kwema huko?
Yule jamaa ni noma afu kuna series flan pia kacheza siikumbuki jinaHahahaha labda. Unalishawahi kuiona Olympus has fallen. Sasa yule Rais kwenye ile movie ndo star kwenye hii movie ambayo Michelle Rodriguez yupo na Ne-yo
Pamoja sana kiongoziYako poa sanaa my very happy to see Makapuku
Battle Los Angeles. Jina la movie jaribu kugoogle uwaone waigizaji wakeHiyo sijaiona ila unanishawishi niitafute
Yule Rais au star mwenyewe wa ile movieYule jamaa ni noma afu kuna series flan pia kacheza siikumbuki jina
Nasikia uliwekwa lupango baada ya kukutwa na sukari glue kg 50
![]()
![]()
![]()
........
siyo super glue?Sukari guru![]()
siyo super glue?
Yule starYule Rais au star mwenyewe wa ile movie
Hapo sawa. Kati ya Olympus has fallen na Whitehouse down ipi movie kali hapo?Yule star