Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Nimekunyima nini sasa?mshana jr njoo huku Nahrene anasema yeye si mchoyo.
Nimekunyima nini sasa?mshana jr njoo huku Nahrene anasema yeye si mchoyo.
Mkuu hii speed traffic akimulika tochi anaona vumbi tu.hivi jf hakuna 'tochi' mana speed ya hii thread inatisha![]()
Nisaidie tu jamani maana hata simuelewiHahahahaaa... Kakunyima nini
Mkuu naona unanilazimisha niseme wewe Si MCHOYO.Nimekunyima nini sasa?
umeninyima likeNimekunyima nini sasa?

Etiiii?Nimekunyima nini sasa?
Umemnyima upendo. Ohh! Namaanisha like. HaahaaNisaidie tu jamani maana hata simuelewi
Ndo ukweli wenyeweMkuu naona unanilazimisha niseme wewe Si MCHOYO.

Nimekupa hiyoumeninyima like![]()

Enhee.......Etiiii?
Yaani nampenda hadi naumwaUmemnyima upendo. Ohh! Namaanisha like. Haahaa
Like nampa nyingi tu, sijui anataka roho yangu sasaKutafuta likes tunami nimekuacha kusudi nilijua tu unanogesha uzi

Duh,nilikuwa sijuiYaani nampenda hadi naumwaLike nampa nyingi tu, sijui anataka roho yangu sasa
Naona nawewe umekuwa addictedHuu uzi umeipa forum partial paralysis
Asante.karibuni chakula![]()
![]()
Makapuku wenzangu ili mpate nguvu ya kuendelea kuchangia thread kwa speed ya Jet
![]()

Hapo sawa sasa![]()
![]()
yani nina wivu mpaka natamani likes zote unipe mimi tu.