Timu ya kwetu ile..... Mkataa kwao mtumwaMgambo na watrusha mawe(coastal) sina huruma nao.
![]()
![]()
![]()
.......
Mi niko safi my wii,habari ya jumatatuMorning too wii
HahahPoa wangu
Kazi njema
Ila vitwanga hadi ijumaa usiviguse siku za kazi
Mornn u, abar za j3 asubuhiMorning all
asante sana mkuu
Niko safi, sijui wewe? Nilisikia unatafuta sukari umepata??Mornn u, abar za j3 asubuhi
AahNiko safi, sijui wewe? Nilisikia unatafuta sukari umepata??
Copa de la rey ni dunia!!?Fc Barcelona miamba ya Dunia wazee wa kutwaa ndoo
Team sevilla bado upo?Aaah
Unge mkaushia tuu uyo, ata leta shda hapa hehehee
Wii mzima??Namshukuru Mungu nimeamka salama
Vipi wewe ndugu yangu?
Punguza roho mbaya bwanaKombe LA mbuzi
Mornie cuzooMorning all
sasa ilichezewa sayari ya Jupiter?Copa de la rey ni dunia!!?
HujamboFc Barcelona miamba ya Dunia wazee wa kutwaa ndoo
Huyo ana stress mwache na jumamosi anakosa kombe tenasasa ilichezewa sayari ya Jupiter?