Makapuku Forum

Marehemu ageuka jiwe...!
Mji wa Musoma umekumbwa na sintofahamu baada ya maiti ya mtoto kugeuka jiwe.

Inadaiwa wazazi walikuta jiwe kwenye kitenge alichokuwa amefunikwa marehemu huyo katika. Tukio hilo limetokea katika kitongoji cha Mgaranjabho nje kidogo ya mji wa Musoma.

Hili litakuwa tukio la pili la kushangaza katika kitongoji hicho ambako karibu miaka 10 iliyopita watu 17 wa familia moja waliuwawa kwa kukatwa mapanga...

Pichani ndio jiwe linalodaiwa kukutwa alipokuwa maiti badala ya mwili wa mtoto.
 
Tanzania ni kisiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…