Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,106
Kwema habari ya wewe?wana wadhati ni washida & na raha.. Kwema?
Kwema habari ya wewe?wana wadhati ni washida & na raha.. Kwema?
Basi mahaba mazitoTtzo kuhama nashndwa , alaf najikuta tuu swez
AaahBasi mahaba mazito
Wakaangue nazi tu..mpira hawaweziTanga rahaa
alaa kumbeSi bora hata ningelipwa kwa wiki??
Nalipwa kwa mwezi ila napenda bata za weekend tu
waulize Geita wazee wa kupanga matokeoKuliko ligi kuu???
Ndio chai inavyopikwa,Na chai yenye viungo kama pilau
Itabidi kwenda kutembea tu sasaAaah
Tulikuwa tunatumia hata kisngizio cha kwenda kushabikia Yanga
Cjui itakuwaj namna ya kwenda Tanga tena
Too late, Niko na certificate tayariIs the sweetness palatable??? ....I'm a tester from Human Testing Corporation....and we give certificates to those who qualify![]()
Tanga chai inapikwa kule. Chai inanukia balaaNdio chai inavyopikwa,
Kuna kupika chai na kuchemsha maji ya rangi sasa pwani chai hupikwa
There's a certificate of appreciationToo late, Niko na certificate tayari

Karibu YakheeeWakuu nimewamiss sana
Tutakutafuta mwisho wa mwakaMi nalipwa kwa mwaka...starehe navizia tu
![]()
![]()
![]()
.......