Makapuku Forum

TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRIKA.

Petro Atletico [emoji1029]
Mamelodi Sundowns [emoji1221]
Espérance Tunis [emoji1249]
Raja CA [emoji1173]
Zamalek SC [emoji1093]
CR Belouizdad [emoji1026]
Al Merreikh [emoji1232]
Vipers SC [emoji1254]
Al Ahly SC [emoji1093]
JS Kabylie [emoji1026]
Horoya AC [emoji1119]
Wydad AC [emoji1173]
Cotonsport FC [emoji1062]
Al Hilal SC [emoji1232]
Simba SC [emoji1241]
RC Kadiogo [emoji1059]/AS Vita Club [emoji1078]
 
[emoji599]Nyota wa Senegal na Bayern Munich, Sadio Mane ametwaa tuzo ya Socrates akiwa pia ndie mchezaji wa kwanza kubeba tuzo hiyo ambayo inahusu mchezaji anayerejesha zaidi kwa jamii yake.
 
[emoji599]Kinda Gavi wa Barcelona ametwaa tuzo ya Kopa ikiwa ni tuzo kwa mchezaji mdogo kwa 2022, tuzo hiyo hutolewa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…