Makapuku Forum

Uzee wapi wakati tozo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sanaaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekutana na thread chit chat yaani yaani kuna mtu kacomment kuhusu makapuku eti mashangazi tumejazana tumegeuza kijiwe cha saloon hivi hata post ninazopost mtu haoni jamani yaani mwanaume unateseka na mambo ya wanawake ila jf
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Stress za tozo hizo auntie. Akuje tumsaidie kuzipunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…