Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukishawaoa utawafanya nini sasaNgoja niende huko nikaoe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukishawaoa utawafanya nini sasaNgoja niende huko nikaoe.
Mzungu ana balaaaMzungu amefanya ile kitu....
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cc Makiwendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sauti ya nani?
Nataka hela yangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we haikuhusu kabisaAaah!! Hii tafiti na mimi inanihusu kweli auntie? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema ukweli haujashangilia goli la mlete mzunguuuHebu usitupigie kelele wewe binti.
Aka ka'mtu kuna siku nikaonana naye Live live Buana!!!!Mambo 10 nilioyaona SIMBA vs KAGERA
1: WOW. JUST WOW .. WHAT A MATCH[emoji119] TUMEENJOY SOKA. Siku zote, Mechi ya wazi, Mechi isiyokuwa na mitego, Mechi isiyokuwa na mipango mingi ya kukaba.. Ni Burudani kwa watazamaji wa Soka
2: POINTI 6. Mabao 5. CLEAN SHEET 2 Mfululizo.. Kubwa zaidi ‘Lete Mzungu’, Dejan Georgijević Ameleta Burudani.. What A Moment.. Mashabiki wa Simba wapewe Ulinzi[emoji3]
3: Tactically, Kocha wa Simba, Zoran Maki ni sawa Kilema aliyejua mwendo upi sahihi kwake.. Hana kiungo mzuri mkabaji.. Nini unafanya? Wekeza nguvu kwenye kushambulia
4: Simba wana wachezaji wazuri sana kwenye 1v1 .. Babu Zoran amechagua kuanza na Kanoute chini, kisha kuweka watu watano mbele wenye akili ya kushambulia.. Hapa anatega mpinzani kulazimisha kufungua mchezo. Kivipi?
5: Ni rahisi kufika kwenye 18 ya mwisho. Ukienda mara moja, ukirudia mara mbili.. Ujumbe unaokwenda kwa koch wa timu pinzani ni kupunguza tahadhari na kutamani kushambulia zaidi.. Mechi ikiwa hivi, QUALITY HUAMUA[emoji736]
6: CHAMA NI SANAA YA SOKA! Anachoweza kufanya Rutto kwenye Jukwaa la Siasa, Chama anaweza kukifanya mara mbili yake uwanjani.. Ni mjuzi. Mtaalam. Anakupa usichokitarajia[emoji1666] ASANTE CHAMA
7: ‘Finishing’ nzuri kwa Dejan.. Mwili wake ulimfanya dhambi ya uongo kwa golikipa. Alidesh kulia akageuka kushoto.. Kamba nzuri na mguu wa kushoto.. Hii itampa kujiamini zaidi
8: Bado Simba inawadai zaidi BANDA na SAKHO.. Wana kasi, skills nzuri za kuvamia eneo la mwisho Lakini Maamuzi yao bado sio sahihi kwenye kuamua mchezo
9: Well Done kipa wa Kagera[emoji122] Licha ya kosa la mawasiliano kati yake na mabeki, alikuwa na mechi bora sana kwenye Saves. Utulivu mkubwa sana kwenye Timing zake kuhesabu hatua za mastraika
10: Asante Outtara! BEKI WA SOKA. Asante Kanoute.. Well Play Makame.. Asante pia Beki Laurent.. Kagera wana Timu nzuri sema wamepata ratiba ngumu mwanzoni
Nb: Mzungu ahesabiwa kwenye SENSA [emoji3]View attachment 2329717
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kuna mmoja nina mashaka nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kwanini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa nimeelewa kwanini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You are missed even more mama. Tuendelee kufurahia ushindi wa Simba🤣🤣🤣Nitakuachia laana dota🤣🤣🤣
Kwanza yo missed😍😍
Eeeen ikawaje etiiiAka ka'mtu kuna siku nikaonana naye Live live Buana!!!!
Wueeeeeeh!!!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu kidogo basi halafu wala hufananiii
Anaweza huyooooooMzungu ana balaaa
Woiiiiiiiiii!!!!Hata mimi nipo kama auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukiachwa tunaachika na ukiachwa achikaaaa
Kuna kazi yake nilikuwa namfanyia....Eeeen ikawaje etiii
Eeenh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikichukiaga ile kuchukia ndiyo huwa zinaonekana[emoji28]
Ila siku hizi ni vile najua kuji'control Auntie..
Ana balaaa huyooooAnaweza huyoooooo
Ya niniii kufatana fatana penzi limeshaishaaaaWoiiiiiiiiii!!!!
Wakenya wanakuambia....Ni unaoga ,muosho mmoja unarudi soko[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] but anakaa poa ila kana mwili mduchuuuKuna kazi yake nilikuwa namfanyia....
Na nilivyo na akili zangu sasa[emoji28]Wakati namuandalia Documents zake...Nikamuuliza Jina...wakati nalijua/Na ninamjua[emoji28]
But anakaa poa.[emoji28]