Makapuku Forum

Makapuku Forum

REDS [emoji837]
Screenshot_20220731-045602_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578] Farhan Jr

Maisha ya Mfanyakazi yoyote kwenye taasisi yoyote duniani hayatabiriki, wakati wowote na muda wowote kwasababu yoyote anaweza kuondoka na kuendelea na maisha sehemu nyingine yoyote

Kama ambavyo yule anaweza kuhama redio hii na kwenda redio ile, kama ambavyo Mwalimu anaweza kuhama shule na Daktari kuhama hospital, ndio maisha ya kazi, sio lazima kuwe na ugomvi

Kwangu @football_senzo alikuwa kama Braza na haswa alivyohamia Yanga tulikuwa tunatambiana sana WhatsApp kuhusu Usimba wangu na yeye Yanga[emoji3]

Lakini bado Senzo alikuwa Mtu poa sana, tuliopiga stori nyingi kuhusu mpira na alikuwa mgeni wangu wa kwanza kuja kwenye SPORTS BAR ya @cloudstv nilipopewa kijiti

To me @football_senzo is like a Brother, sijapata wasaa wa kumuuliza chochote na sijafahamu wapi anapoelekea ila binafsi nimtakie kheri kwenye lolote analoenda kufanya popote

Maisha yetu ni mipango yetu na malengo yetu sio lazima sehemu kuwe na fujo, bali malengo tu
Screenshot_20220731-042821_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr

Siku hizi watoto wa Kiingereza wana damu za Kiargentina pia, siku hizi nenda Siku hizi watoto wa Kiingereza wana damu za Kiargentina pia, siku hizi nenda North East England, nenda Midlands mpaka Eastlands yani ile England nzima wanautaka mpira kama Mogi da Cruzes pale kwetu Brazil[emoji3]

Zamani Fundi kama TRENT alipaswa kuwa na jezi yetu Brazil au Argentina au wale wa Colombia, lakini Scouser tu kutoka Liverpool mwenye kipaji cha ajabu

Anyways kapigwa Man U, kapigwa City, what a night[emoji3]

Nipo na Bishoo @phone_camp_tz @phone_camp_tz hapa, anasema fikeni dukani kununua simu ili weekend zetu ziwe kama Mwaka mpya[emoji3]North East England, nenda Midlands mpaka Eastlands yani ile England nzima wanautaka mpira kama Mogi da Cruzes pale kwetu Brazil[emoji3]

Zamani Fundi kama TRENT alipaswa kuwa na jezi yetu Brazil au Argentina au wale wa Colombia, lakini Scouser tu kutoka Liverpool mwenye kipaji cha ajabu

Anyways kapigwa Man U, kapigwa City, what a night[emoji3]
Screenshot_20220731-050008_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578] farhan Jr

Ilikuwa lazima uwe na Mwanamke kama Kajala ili kupenya kwenye masikio ya Bongo Movies ambapo kuna fan base kubwa

Ilikuwa lazima awe na Kajala ili kutrend na kusikika kila uchwao kupitia online medias na electronic media, kwakuwa Kajala alikuwepo mjini wakati Harmo yupo Kusini

Kwakuwa Harmo tayari alikuwa na timu yake ya watu wake walioshibana sana, timu ya Wana ambao sio tu wafanyakazi wenzake, hapo ana uhakika ramani ya vita haiuzwi kirahisi

Umenielewa Mtu wangu? Anachokifanya Harmo ndicho alikuwa anakifanya Bro ake Diamond, alihakikisha ana Wema kisha akawa na Rommy Jons na Ricardo ambao ni Ndugu kulinda ramani ya vita

Ndicho Harmo anakifanya kwa uzuri mnoo, hajakosea hata kitu kimoja ana Jabulant ana Chopa ana DJ Seven wote hao ni Wana since wayback wanamfahamu kama Rajabu na sio Harmonize

Kitu cha mwisho ni HIT SONGS, Harmonize kwasasa anatoa HITS tena kali sana, Harmo anatunga sana, anaimba kila aina ya mziki, kapiga Gospel, singeli, Hiphop mpaka Pop, anasikika sehemu zote

Kwa muda mchache tayari ana hits kama 30, hii ni moja kati ya talent kubwa sana, binafsi namuelewa sana ana kitu tena kikubwa mno na anazidi kupenya

Kaisikilize ngoma yake ya MISS BANTU pale Youtube au digital platforms ni banger[emoji119] binafsi namuona ana njaa na huu mziki, njaa ambayo Diamond aliwahi kuionesha miaka 10 nyuma, ilikuwa usiku na mchana ni mziki

Ni njia zile zile, njaa ile ile na script ile ile sema kwasasa ni mtoto wa Mtwara

Screenshot_20220731-050144_OGInsta%2B.jpg
 
IMETHIBITI kwamba wachezaji 3 wa Kigeni wa Simba SC
1. Chris Mugalu - [emoji1078]
2. Tadeo Lwanga - [emoji1254]
3. Meddie Kagere - [emoji1206]
WANAMALIZANA na Mnyama ili kupisha watu wapya wachukue nafasi zao.

Wamesafiri kutoka Misri ambako timu iko Pre-season na sasa wapo Dar es Salaam kuangalia maslahi yao manake wote wana mkataba wa mwaka mmoja mmoja.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Screenshot_20220731-050729_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578] Jemedari Said

SENZO AONDOKA YANGA SC

Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga SC SENZO HAMILTON MBATHA MASINGIZA anaondoka Klabuni hapo baada ya mkataba wake kumalizika hapo kesho tarehe 31. Julai. 2022

NB: Lilikua suala la muda tu ila ilikua dhahiri ataondoka kwa ilivyokuwa.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Screenshot_20220731-042821_OGInsta%2B.jpg
 
Wiki ya matukio ya kikubwa kutoka kwa timu kubwa Afrika imekaribia.

Tukutane leo Mbagala Zakheim kuanzia saa 3 asubuhi. #SimbaWeek #SimbaDay #SimbaDay2022 #NguvuMoja
Screenshot_20220731-051228_OGInsta%2B.jpg
 
Mkali wa muziki kutoka WCB, Zuchu atakuwa mmoja wa maelfu ya Wanasimba ambao leo Jumapili tutakuwepo kwenye uzinduzi wa 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗪𝗘𝗘𝗞 𝟮𝟬𝟮𝟮.

Sherehe zetu za ufunguzi wa Wiki ya Simba zitaanza saa 3 asubuhi. Jiandae kulambishwa sukari [emoji3164][emoji39] #NguvuMoja
Screenshot_20220731-051339_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578] Farhan Jr

Una wakabaji wanne pale Simba, una Victor Akpan, Said Kanoute, Mzamiru Yassin na Jonas Mkude, niamini Mimi hii ni roho ya timu nzima yani mfumo mzima upo kwenye hii miguu nane

Mind you Mwanakwetu una ballers kadhaa kama Chama Maestro, Jerry Banda, Tom Sakho, Fimbo ya Musa Phiri, Habibu Kyombo, Okrah Magic na Cesar Manzoki (ooh sorry nimekosea kumbe sio mchezaji wa Simba)

Hao Mafundi wanahitaji utingo kama hizo roho tatu nilizokutajia yani Yona, Victor na Mza wa Morogoro, hawa ndio wanatembea na risiti za timu yote ya juu, maana yake unawahitaji msimu mzima

Lakini Mimi nina kajileseni cha Ukocha kwa hii Simba ningeenda na mfumo wa 3-5-2, nacheza kabisa na vitasa vitatu nyuma na naamini itaflow vyema mno naamini hivyo

Namuweka Joash wa Kenya, Anko Mudi wa Ivory Coast na Inonga wa Kongo ya Kinshasa, huku wingbacks MO Hussein na Show me the way wa Morogoro[emoji3] patamu hapo!

Kati naweka pafu moja la Mbwa, yoyote kati ya Victor, Yona, Kanoute au Mza! Halafu juu yake ni Perfect 8, ukitaka ubaya unaweka Clatous Chama na Agu, Chama na Dogo Peter au Chama na Sakho[emoji3]

Mwisho kule Mastraika pacha unaweka Musa Phiri wa Zambia au Habibu wa Mwanza, wanazima na Cesar Manzoki (ooh soreni Mathela hili jina limenikaa sana kumbe sio mchezaji wa Simba ni wa Vipers)[emoji3]

Screenshot_20220801-041640_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578] Farhan Jr

Kauli moja wapo rahisi sana ukisema Barbra ni mrembo sana, kuna Mwanao atakwambia usione kizuri kuna Mtu anahudumia, jibu la siku zote limezoeleka[emoji3]

Kuna mwingine atasema, Barbra ni CEO bora na anafanya kazi kwa utulivu! Majibu yanapaswa kuwa yale yale tu kuwa kuna Watu wanahudumia hapo!

Namaanisha nini? Namaanisha kuwa nyuma yake kuna kundi la Seniors wengi ambao ni magwiji wa mpira ambao wanaufahamu huu mpira kwa zaidi ya miaka 30, ila wameamua kumtanguliza CEO

Hao Seniors wao wanaamini zaidi kwenye utawala ambao CEO ndie Mtendaji Mkuu, ikitokea hafla sehemu yoyote watamwambia nenda, ikitakuwa Muwakilishi wa Simba popote watamwambia nenda

Hawa Wasomi kwenye hizi nafasi wanapenda kuwa sura ya project, wanapenda kusimama kwa niaba ya taasisi, wanachokifanya Seniors ni kumpa mazingira sahihi ya kutekeleza ndoto yake

Klabu kubwa na kongwe kama Simba hawezi Barbra peke yake bali Magwiji pia ambao wanatufanya tuseme CEO Barbra anafanya kazi kubwa sana, kwakuwa Magwiji wanachangia kwa nyuma

One of the best CEOs in Africa, one of the best Leader who adheres to TEAM WORK

Screenshot_20220801-042220_OGInsta%2B.jpg
 
Back
Top Bottom