Makapuku Forum

Haya mapenzi jamani!! Alionywa hakukoma, ona sasa limemkuta jambo🙆🙆
 
Hahaha hahaha hapa tayari kazi umepata tatizo nakumbuka uliniuzia korosho ulizo changanya na kokoto nikiwaza tu hivyo nguvu zinaniishia
...duh, nilidhani tuliyamaliza haya kimya kimya pale nilipokuletea mabibo kiroba kizima na anko Lee akakuelezea kilichotokea.
Wakulima wana shida sana. Ukitaka korosho tena nakuuzia kwa bei ya punguzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…