Makapuku Forum

Eti " Baby nishukie Wapi?"[emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana uko ukanda wetu huu

Kuna sehemu mvua inanyesha kuna sehemu jua linawaka

Poleni jitahidi tu kuwalinda watoto kwa kuwavalisha nguo nzito nzito
Hapana Mndali....

Sipo huo Ukanda....hii Baridi ya huu Mwaka kiboko....
Masweta Wanavaa/ Tunavaa...Maana hili baridi hakuna Mkubwa wala Mdogo....

Zaidi sana Ahsante kwa kujali Mndali....Barikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…