[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....acha woga, ujue kadri aunt yangu anavyonisagia kunguni napata mawazo ya kuachana na bajaji ya kuchangia nitoke zangu Mtwara na bodaboda langu hadi Dar. Tena nasikia mafuta ni rahisi hapo Dar, nikiweka wakati wa kuja unaweka wakati wa mizunguko, mimi naendesha tu unanionesha mji
Wapi huko Auntie?Eenh upo huko auntie
Kazimoto...Leo kitimoto,tunakila wapi?
kunaendeka kokote kule kwa sie tusio banwaKazimoto...
Na hii Weather ya leo pataendeka kweli?
Hata wanaobanwa kunaendeka pia MC....kunaendeka kokote kule kwa sie tusio banwa
mie niko eneo la tukio nasubiri ugaliHata wanaobanwa kunaendeka pia MC....
Nipe muda[emoji23]
Sawa....mie niko eneo la tukio nasubiri ugali
umepata.sema kingineSawa....
Wambie waandae Ribs choma[emoji28]
Tuanzie hapo kwanza..umepata.sema kingine
sawa .karibuTuanzie hapo kwanza..
Kingine kitafuata baada ya hapo[emoji1787]Kipoo!!!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]sawa .karibu
Wenye kazi zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi na me sijakuelewa auntieWapi huko Auntie?
Au sijaelewa?[emoji23]
He he mzee una madongo wewe kama kweli vile haubanwikunaendeka kokote kule kwa sie tusio banwa
hahahahaha,hkn wakunibana shangazi,,km yupo anyooshe mkonoHe he mzee una madongo wewe kama kweli vile haubanwi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi na me sijakuelewa auntie