[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....karibu sana, utanisaidie nikukesheshe halafu mchana unalala. Ulinzi sio jambo rahisi sema tu zama za inflation na shrinkflation kazi ni kazi, unaishika na kuikumbatia
Tuko tu Kwa hii Baridi Mtu Chake....Furahi day ,mko wapi?
Sasa binamu mbona tabia za kisukuma hunaaa uko na tabia za kipare na kikinga za ubahili jamani....kweli kabisa, tena nakandamiza kweli kweli. Darasani sikuwa namuelewa mwalimu hadi atafasiri kwa kisukuma. Wakati wengine Kiswahili ni lugha ya kwanza, mimi ni lugha ya pili, nimeikutia shuleni secondary
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante binamu yangu na kwako pia....kuna raha yake kwenda bar yenye vijivurugu weekend. Sio kila siku ukae sehemu tulivu. Toka kidogo ukaone maisha yalivyo sehemu ambayo hujazoea. Nenda Buguruni Kimboka bar, agiza bia mbili, kunywa angalia wale wadigo wanavyotoa burdani. ukienda restroom usiache simu mezani, hauko Cape Town bar au Mbalamwezi, wala hauko Royal Village unakokula mvinyo huku unapata huduma ya WiFi. Ukiiacha tu imekula kwako. Anyway, nilitaka tu kushare na wewe some weekend experience, unaiacha comfort zone yako na unaenda sehemu ambayo ukiona watu wanagombana usiende kugombelezea, utafumanishwa. Hii ndiyo bar yangu kwa leo. Lindo langu linaanza saa 6 kwa sasa namwagilia moyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww mzee bwanaHumu mnataja makabila ya watu,vp mnataka kutambika?
Tupo hapa makapukuFurahi day ,mko wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa binamu mbona tabia za kisukuma hunaaa uko na tabia za kipare na kikinga za ubahili jamani
Lol!Sasa binamu mbona tabia za kisukuma hunaaa uko na tabia za kipare na kikinga za ubahili jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo site nipo siteeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Auntie [emoji119][emoji119]
Kata simu....kata simu...
...akate mapema kabisa, naona anaanza kutoka nje ya mstari. Alichosema utasema ni uongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Auntie [emoji119][emoji119]
Kata simu....kata simu...
Hahahaha binamu tunaongea me na weweLol!
Ubahili sio moja ya sifa nzuri ninazokosa. Utaniharibia mapema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...akate mapema kabisa, naona anaanza kutoka nje ya mstari. Alichosema utasema ni uongo
...sawa lakini nimebadilika siku hizi, huoni ninajisogeza kwa Maki, sasa akijua kuhusu hilo anko alilokuwa ananisingizia nitaonekana siko makini kabisa.Hahahaha binamu tunaongea me na wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo site nipo siteeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...sawa lakini nimebadilika siku hizi, huoni ninajisogeza kwa Maki, sasa akijua kuhusu hilo anko alilokuwa ananisingizia nitaonekana siko makini kabisa.
Mwenzako nimepanga nikija Daslamu niende nikatembee pale kwenye daraja la Tanzanite nikapige picha na nimemwomba Makiwendo achukue mapumziko anipeleke darajani afu tunachangia bajaji inatupeleka Kitambaa cheupe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha binamu tunaongea me na wewe
Ni ukweli siyo?...akate mapema kabisa, naona anaanza kutoka nje ya mstari. Alichosema utasema ni uongo
hahahaha....ha hahhahaaa, sio kutambika kaka, kuna yule Abdalah (Dullah) yeye kayaimba kabisa
hahahaha,hii baridi ,na wengine leo tuko lindoTuko tu Kwa hii Baridi Mtu Chake....
Twakesha popo...