Makapuku Forum

Watu wa mlimani mnaendana endana sana na hao watu.[emoji28]
 
He he he...Shem...
Huku utakuja tu...hata kwa kimya kimya..Nakumanya vyema.
Hahaha, huku kwa makapuku mimi sihusiki. Nikapitia headlines za magazeti, huyu Shunie yuko vizuri.
Watu wa mlimani mnaendana endana sana na hao watu.[emoji28]
Kweli umetuchoka, nitakutafutia wa milimani upambane nae🤣🤣🤣
 
Ankoo abj ulimkataza jf eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
....duh, ankal mbona mimi mgeni kabisa humu na ndiyo kwanza nimeingia leo toka Chikundi. Kuna jipya gani kwani, kabla sijakueleza mazuri niliyokutanayo kule. Halafu nilipata barua toka kwa yule mtu wako wa siku zote, anakusalimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…