Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Hahaa maana sisi wengine na urembo ni kila mtu na njia yake asee hatuwezi kukutanaJamani [emoji1787][emoji1787]
Akija kujitetea nitarudi kusoma
Hahaa maana sisi wengine na urembo ni kila mtu na njia yake asee hatuwezi kukutanaJamani [emoji1787][emoji1787]
Akija kujitetea nitarudi kusoma
Emu tuone 😜Team Short hair...
Auntie ukiona hizi zangu kitu nimezifanya saa hii[emoji119] Cutting Master Mungu Amuweke[emoji23]
Eenh natamani kuziona auntie fanya unitumie picha [emoji847] me nilitoa blond bwana acha nibaki hivi kwanza baade sijui nitaweka rangi gani huku shem wako hataki mambo ya rangi kichwaniTeam Short hair...
Auntie ukiona hizi zangu kitu nimezifanya saa hii[emoji119] Cutting Master Mungu Amuweke[emoji23]
Kujiremba hadi wakualike harusi 😂Hahaa maana sisi wengine na urembo ni kila mtu na njia yake asee hatuwezi kukutana
Tupo tofauti mamaHahaa maana sisi wengine na urembo ni kila mtu na njia yake asee hatuwezi kukutana
😀😀 amua baadaeHapo kwenye kuweka nyingine sasa siku nikiamua dear sio leo wala kesho
Awww [emoji3059][emoji3059][emoji3059] idumu milele [emoji847]Short hair na idumu [emoji14]View attachment 2287957
Hahahha hapana aiseee[emoji3][emoji3] amua baadae
Hahaa muone vileKwenye masufuria.
Iweke bana tulijazie mpaka limwagike maana we binafsi ushalijaza 😀Eenh mmeanza na nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnijaze ujinga woiiii sijaziki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aah wapiiiiIweke bana tulijazie mpaka limwagike maana we binafsi ushalijaza [emoji3]
Kweli vile 😇[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aah wapiiii
Mie hata ukinielezea unafikiri nitaelewa mama wengine mambo ya kutunza natural hair tunayajulia wapi ikiwa kuchana tu nywele ni hadi mizimu ya mababu ikae kikaoVyote kama nini hapo jamani vingi ni vitu vya kichwani nywele zangu ni natural pembeni ni perfume ebu niambie kipi nikuelezee halafu sijafuta pic ngoja nifute
hahahahahaUnapenda vitu vizuri we mzee
Team short hair for lifeTeam Short hair...
Auntie ukiona hizi zangu kitu nimezifanya saa hii[emoji119] Cutting Master Mungu Amuweke[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu niache kidogoMie hata ukinielezea unafikiri nitaelewa mama wengine mambo ya kutunza natural hair tunayajulia wapi ikiwa kuchana tu nywele ni hadi mizimu ya mababu ikae kikao
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Auntie hii tabia si nilikukataza lakini
[emoji2][emoji2] tena na kuchambwa juuKujiremba hadi wakualike harusi [emoji23]
Kuona ndiyo kipengele sasa[emoji28]Emu tuone [emoji12]
Sijawahi kwenda kwa cutting Master, naona tu posts zake Ig… anajua sana kuwapendezesha watu
Nakutumia Auntie....Chek muda siyo mrefu....Eenh natamani kuziona auntie fanya unitumie picha [emoji847] me nilitoa blond bwana acha nibaki hivi kwanza baade sijui nitaweka rangi gani huku shem wako hataki mambo ya rangi kichwani