Makapuku Forum

Makapuku Forum

Vyote kama nini hapo jamani vingi ni vitu vya kichwani nywele zangu ni natural pembeni ni perfume ebu niambie kipi nikuelezee halafu sijafuta pic ngoja nifute
Sijaona make up kit au ni team nachuro

Nywele yako ni natural kabisa? Ni short hair au..
 
Back
Top Bottom