POMBE AMTWANGA KITWANGA BAADA YA KITWANGA KUTWANGA POMBE...
Eti Kitwanga katwangwa na Pombe baada ya Pombe kumtwanga Kitwanga wakati kitwanga alipokuwa anatwangwa maswali Bungeni. Akitwanga swali alilotwangwa bungeni, kitwanga alijikuta akitwanga majibu yaliyotwangwa na pombe kitendo kilichopelekea Pombe kumtwanga kitwanga. Kwa mantiki hiyo kitwanga ataendelea kutwanga Pombe nje ya utawala wa Pombe. Wachambuzi wa maswala ya saikolojia wanasema Pombe si rafiki wa kuamiana naye. Sasa swali la kujiuliaa hapa ni Je Kitwanga asinge twanga pombe je Pombe angemtwanga kitwanga. Je, ni nani mbaya,Je ni Pombe alivyomtwanga kitwanga au kitwanga alivyotwanga Pombe..