Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,854
- 183,106
Maana wewe nakuona hauko busy, sasa kikuu kafichwa na nani? Tena penzi jipya!!Auntie bwana labda yupo na mbebi wake huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie wafwaaaaaa!
Maana wewe nakuona hauko busy, sasa kikuu kafichwa na nani? Tena penzi jipya!!Auntie bwana labda yupo na mbebi wake huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeeeh!!Ha ha ha... simsikilizi huyo...
Namjua mambo yake[emoji2]
Umeanza kupuliza?Nipo nyonyo nipo titiiiii. [emoji1787][emoji1787] Aloooh hizi nyimbo nyingine buanah
Wasalaam shemelaMpe salaaam [emoji137]
Hebu huko!Nyieeee jamaniiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajivua!! Auntie umetoka kuvua? [emoji85][emoji85][emoji85]Depal na wenzio mnajivua hiviii[emoji1787][emoji1787] au nikuwekee na picha kabisa [emoji1787][emoji1787] wahenga wenzangu tunavijua View attachment 2270012
Hahaha we jamani me kahenga ujue 🤣🤣Depal na wenzio mnajivua hiviii[emoji1787][emoji1787] au nikuwekee na picha kabisa [emoji1787][emoji1787] wahenga wenzangu tunavijua View attachment 2270012
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi huyu nifwe auntie moyo wangu ujue umepondeka pondeka na mambo za mapenzi yaani nilipofikia sasa hivi kila kitu kwangu nakiona sawa tuMaana wewe nakuona hauko busy, sasa kikuu kafichwa na nani? Tena penzi jipya!!
Auntie wafwaaaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23] Nikipuliza si ndio nakuwa chizi kabisaUmeanza kupuliza?
[emoji137] umemissika TWasalaam shemela
Unamcheka shemela si etiEti shululu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila auntie yangu hapana jamaniHebu huko!
Auntie bwana typing errorMnajivua!! Auntie umetoka kuvua? [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeonaa vimechongoaje yaaniHahaha we jamani me kahenga ujue [emoji1787][emoji1787]
Ali choki si vile viatu dizaini kama mbele vimechongoa?
Ah afu hivi vimerudi naona kuna matoleo mbali mbali 😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeonaa vimechongoaje yaani
Ali choki ni hivii View attachment 2270033
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikisema sisi wahenga utuelewe D nyie watoto kuanzia mwaka 2000 hamuwezi elewaAh afu hivi vimerudi naona kuna matoleo mbali mbali [emoji28]
Nilidhani ali choki ni vile vya wanchoma, mkuki moyoni
Sawa dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka nafurahia kuona mnapendana jamani
Bhana 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikisema sisi wahenga utuelewe D nyie watoto kuanzia mwaka 2000 hamuwezi elewa
Sasa enzi hizo choki zilizokuwepo mbele zilikuwa zina corner yaanj
[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu ukooo hata kuzaliwa ulikuwa haujazaliwa D.Bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mie ni muhenga mwenzio ujue, sema uzee mwingi mpaka files zinachanganyikana..