Rudi hapa kapuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu na magumu yote haya ila nimeamua sitaki ukapuku. Na kweli saivi nalalama kinyama manake hata ningekuwa na gari au nyumba au simu ya tachi, vingenishinda kuhudumia, hii smart kitochi idumu sana.
Kwahiyo mtoa mada sio huyo[emoji849][emoji849]Mods walibadilishe aisee kama waliweza kumtoa mleta thread hata jina watabadilisha Paw Cookie Moderator Maxence Melo tunaomba mtubadilishie jina la Makapuku jamani tunawaomba
Vitu vyenye nimesoma ndio hivyo au?[emoji134][emoji134][emoji134]Eeeeh, kule ni kuamshana tu, hakuna kulala hataaa! Naachaje kusabsraib.[emoji3][emoji3]
Tangu ukue unajikuta unatengeneza mbadala wa O2 ulivyo busy!! Hujambo dota?Aiseeee [emoji848][emoji848]
Bora wewe ulipewa kubwa. Mie haijawahi kuvuka shilingi 56[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23] Eenh auntie 478 miamala ninayoifanya sio wa kupewa hiko kiasi hivi wanazingatia vigezo gani
We jambazi muache binti yangu!Hahah we jikane tu, mwenzio nitaenda pale na bahasha yenye wekundu [emoji384][emoji384]
Si unajua kwamba tunakupenda sana sanaAhsante sana mama Muinjili.
Ebu fanya kunitumia kwa no ileSasa hii buku saba naipeleka wapi, au nimeshakuwa wa lumumba tayari [emoji3][emoji3]
hujui line yake ni special, ukituma muamala unaoneka na wewe mtu mzito lazima gawio likuhusu.. 😄😄Hahaa kumbe
Ameen wanatusikiaBUSARA ni jina linatosha kabisa
We mzee weeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah nakukonvisi yule nimemuona awe ndio wewe...
Maana si kwa ufundi ule wa Mungu na rangi ya mtume wake
[emoji1787][emoji1787] Sio alikuwa Baily 5 huyo wa saaa ni mod sijuiKwahiyo mtoa mada sio huyo[emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tigo walinipa 128Bora wewe ulipewa kubwa. Mie haijawahi kuvuka shilingi 56[emoji134][emoji134][emoji134]
Nitafanya hivyo jamanihujui line yake ni special, ukituma muamala unaoneka na wewe mtu mzito lazima gawio likuhusu.. [emoji1][emoji1]
Good evening momma, nimeshinda poa kabisa, hofu kwako tuGood evening love, umeshindaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani huyo ni kibaka mzoefu, panya road aloshindikana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rudi hapa kapuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwavile wote waanzilishi wamekimbia, basi waandike mtoto mlito mlito forum[emoji1787][emoji1787]Watupe jina gani sasa Auntie...
Pendekeza basi...
Japo mimi hata hili sawa tu[emoji1787]