[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Filikunjombe mkubwa wewe!!
[emoji57]
Nyuzi zako hizo[emoji38]Bora nikasome kimasihara au nipitie zile picha na wadada wakali sana[emoji3][emoji3]
Japo nikiitwa napitia dondoo zako, uko njema binti wa kisambaa![emoji3]
Sisi wazima kabisa Kaka Tajiri...Mzima Dada Tajiri lakini ? Mnaendeleaje hapo ?
Mungu mwema, Dada Boss!Sisi wazima kabisa Kaka Tajiri...
Vipi nyie huko?
Ijumaa Inaenda aje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini Filikunjombe sasa jamani?
Jambo jema kaka Tajiri...Mungu mwema, Dada Boss!
Hapa amani kabisa Tajiri !
Ijumaa tupo kiwandani tu hapa kwa kanjibai [emoji2][emoji2]
Nitoe out bass
Mkwe wako hafai kabisa...Kana matusi ya rejareja haka kamkwe kangu
Hata maeneo yako na ma boss wenzako na mie nioshe macho ππJambo jema kaka Tajiri...
Out ya kwenda wapi jamani?
He he he...Hata maeneo yako na ma boss wenzako na mie nioshe macho [emoji2][emoji2]
ππππππ kanjibai hajalipa mwezi wa pili huuHe he he...
Nataka nikugande leo unipeleke maeneo[emoji38]
Hahaha haya mambo umeanza liniMkwe kumbe una kabinti kengine...
Vile mahari yangu ilikuwa kubwa sana, ungenipa haka kabinti kama nyongeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu huyu ni yule anabaki na mama nyumbani kulea wazazi. She is too precious kuja kukutana na nyie vibaka.
Tutakopa[emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] kanjibai hajalipa mwezi wa pili huu
Habari za kufichwaUpo wa kutosha Toto...
Hahaha aunt wacha twende naye tu hivyo hivyo anavyotaka sasa tufanyeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani[emoji119]
Sijaficha hata Toto..Habari za kufichwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha aunt wacha twende naye tu hivyo hivyo anavyotaka sasa tufanyeje
πππ Wewe ukope kweli..Tutakopa[emoji28]