Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usiniambie auntie sijawahi kusoma kabisa watu wa jf wana makasiriko
 
Ibra87 alikuwa kinara, ilikuwa bifu sijui za nini...Mungu amlaze palipo pema huyu mwamba!!
 
Akuuuu, mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiona mafuta yamepanda bei kidogo, halafu unalalamika kama myukreini...wewe ni kapuku

Ukiona maza hapandishi mshahara, halafu wewe unalalamika kama ugali na dagaa sio msosi...wewe ni kapuku

Ukiona joto kidogo tu likiongezeka, halafu unalalamika kama huna hela ya kununua feni au eisii...wewe ni kapuku

Ukiona bando zimepanda kidogo tu, halafu unalalamika huna hela ya bando...wewe ni kapuku

Naweza nikaendelea na kujaz aseva za jeiefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…