Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa wanajibu, ila jibu lao "wewe ndio malikia pekee wa moyo wangu". Unaitikia tu sawa baba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka....Mimi ndiyo maana kuna vitu sitakagi kuchosha akili yangu...

Naweza kuwa najua A-Z na nisiulize...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…