Kwenye list ni waliojoin Jf from 2014 up to date.....
List ni pambo tu
Kila mtu yupo free kuchat hakuna limitation
Jisikie huru
Jiachie.......
....................................
Vp vitabu vya Sam Kitogo kama sikosei maana nilivisoma zamamani nafikiri vilikua na watu kama Heren Jeuri, Kamanda Giro. Vya Gamba na Joram Mimi nimevisoma sana.