Mmmh! Kikuu hata mimi unanipanga kweli?Aunt simu nilimpa aunt
Ile kitu kwa Browser ni changamoto aiseee...
Watu wa App ni kwenda na slides tu.....
Makofi kwa watu wa App tafadhali
Umeanza!
tupo hapa huko tuwaachie wenyewe tu au mpaka max afute app kama alivyosema ndio atatuona uko
duhNipe hela yangu.
He he he.. Njoo chukua..Nipe hela yangu.
Shem binamu wetu umemficha wapiHe he he.. Njoo chukua..
Huyo kwani umemsahau Auntie? Kuna siku atakuja hapa ataniambia Naomba nyumba yangummenishinda auntie kila siku mnadaina
Auntie nimemiss tu kuongea na wewe tupige maumbea yetu
Juzi nipo kitandani nikasema nakupigia woiiii mbona nilisinzia
raha ya deni kulipa.hahahahaHe he he.. Njoo chukua..
Shem binamu wetu umemficha wapi
Hahahahahaha nilikumis ujue shem wangu ...
Hivi na hapa Aonekani kabisa Shem?
Aki!!!Malalamiko ni mengi?
raha ya deni kulipa.hahahaha
Hahahahahaha nilikumis ujue shem wangu ...
Aunt tokea apokee simu naye changamoto
Hahahahaha wa kipindi kilee?
Kumbe simu alipata na hasemi?.. sijapenda..
Nakumiss zaidi Shem lake.. Weekend ule mzigo unifikie basi...